• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 28, 2016

  PROFESA JAY NA SUGU WALIVYOZINDUA MASHINDANO JANA MIKUMI

  Waziri kivuli wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Joseph Osmund Mbilinyi, Mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini (CHADEMA) (kulia) akiwa na Mbunge wa Mikumi Joseph Haule jana wakati wa uzinduzi wa Kombe la Profesa Jay uliohusisha mchezo kati ya Buffalo FC kutoka kijiji cha Doma dhidi ya timu ya Magomeni Stars kutoka kata ya Magomeni. Buffalo FC ilishinda 2-0. Mbilinyi maarufu kama Sugu na Haule anayefahamika pia kama Profesa Jay wote ni wasanii wa zamani wa Hip hop. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PROFESA JAY NA SUGU WALIVYOZINDUA MASHINDANO JANA MIKUMI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top