Wachezaji wa Poland wakimlalamikia refa baada ya nahodha wao, Robert Lewandowski kurushiwa moto na mashabiki wa wenyeji, Romania katika mchezo wa Kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi. Mchezo ulisimama kwa dakika 10 kutokana na tukio hilo na Lewandowski alipatiwa huduma ya kwanza kabla ya mchezo kuendelea na Poland kushinda 3-0, mabao ya Kamil Grosicki dakika ya 11 na Lewandowski mawili dakika ya 83 na 90 na ushei kwwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment