Mshambuliaji wa timu ya Al Suwaiq, Kipre Herman Tchetche (kulia) akimiliki mpira katika mechi dhidi ya Rustaq kwenye Ligi Kuu ya Oman Uwanja Seeb, Muscat katika sare ya 1-1, bao la timu yake akifunga yeye. Kipre amehamia timu hiyo ya Oman akitokea Azam FC ya Tanzania aliyoichezea tangu mwaka 2011
0 comments:
Post a Comment