• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 27, 2016

  WACKO JACKO NA MZEE MWINYI DAR ES SALAAM 1992

  Gwiji wa muziki wa Pop, Mmarekani Michael Jackson (kushoto, sasa marehemu) akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi mjini Dar es Salaam Februari mwaka 1992 wakati wa ziara yake nchini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WACKO JACKO NA MZEE MWINYI DAR ES SALAAM 1992 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top