• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 27, 2016

  SANCHEZ APIGA MBILI, ARSENAL YASHINDA 3-1 EMIRATES

  Mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez (kulia) akishangilia baada ya kuifungia The Gunners mabao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Sanchez amefunga dakika za 12 na 90 na ushei, wakati bao la pili lilifungwa na Theo Walcott (kushoto) dakika ya 53, huku la wageni likifungwa na Callum Wilson dakika ya  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SANCHEZ APIGA MBILI, ARSENAL YASHINDA 3-1 EMIRATES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top