Riyad Mahrez akijivuta kupiga penalti kumtungua kipa Ludovic Butelle wa Bruges dakika ya 30 katika ushindi wa 2-1 wa Leicester City kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya haiku wa jana. Bao lingine la Leicester lilifungwa na Shinji Okazaki dakska ya tank, wakati la Bruges lilifungwa na Jose Heriberto Izquierdo Mena dakota ya 52 Uwanja wa King Power PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment