Mshirikishi wa shindano la Miss Afrika, Julitha Kabete (wa tatu kulia), akiwa na wazazi wake na ndugu na jamaa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam baada ya kuwasili kutoka Nigeria alipokwenda kushiriki shindano la Miss Afrika na kufanikiwa kuingia tano bora Jumamosi.
LIVE: TotalEnergies CHAN 2022 Draw
-
Watch the Live draw for the 2022 Championship for Africa Nations (CHAN)
from CAF headquarters in CairoÂ
Dakika 5 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni