• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 26, 2016

  RONALDO AFUNGA MABAO YOTE, REAL MADRID YASHINDA 2-1

  Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza kwa penalti Real Madrid dakika ya tano katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sporting Gijon leo Uwanja wa Bernabeu. Ronaldo alifunga na la pili dakika ya 18 wakati la Gijon lilifungwa na Carlos Carmona dakika ya 35, huku Duje Cop akiikosesha bao la kusawazisha timu yake kwa kukosa penalti dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA MABAO YOTE, REAL MADRID YASHINDA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top