• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 26, 2016

  LIVERPOOL YAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND

  Divock Origi akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza akitokea benchi katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sunderland leo Uwanja wa Anfield. Bao la pili lilifungwa na James Milner kwa penalti, baada ya Sadio Mane kuangushwa. Na kwa matokeo hayo Liverpool inarejea kileleni mwa Ligi Kuu ya England ikifikisha pointi 30 sawa na Manchester City PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAREJEA KILELENI LIGI KUU ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top