Olivier Giroud akienda hewani kupiga mpira kwa kichwa kuifungia Arsenal bao la kusawazisha dakika ya 89 akimalizia krosi ya Alex Oxlade-Chamberlain, kufuatia Juan Mata kutangulia kuifungia Manchester United dakika ya 68 Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Kocha wa United, Mreno Jose Mourinho alikasirika na kufoka baada ya refa Andre Marriner kutotoa penalti kutokana na Antonio Valencia kuangushwa kwenye boksi na Nacho Monreal PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment