Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima akitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza baada ya kuwasili na kikosi chaa timu hiyo kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kesho dhidi ya wenyeji, Toto Africans
Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' akitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza baada ya kuwasili
Beki Vincent Bossou akitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza baada ya kuwasili
Beki Pato Ngonyani na mshambuliaji Obrey Chirwa nyuma wakitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza baada ya kuwasili
Meneja Vifaa, Mahamoud Omar 'Mpogolo' na Meneja wa Timu, Hafidh Saleh wakitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza baada ya kuwasili
Deebo Samuel, Brandon Aiyuk, Tee Higgins' Top NFL Landing Spots After OBJ
to Dolphins
-
A big-name wide receiver went off the free agent market Friday as Odell
Beckham Jr. reached a one-year deal, per ESPN's Marcel Louis-Jacques. Other
free ag...
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment