Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib akimka kiungo wa Kagera Sugar ya Bukoba katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 2-0
Beki Mkongo wa Simba, Janvier Bokungu (katikati) akipambana na mchezaji wa Kagera Sugar
Ally Nassoro wa Kagera Sugar (kushoto) akijivuta kupiga mpira mbele ya beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala'
Shaaban Sunza wa Kagera Sugar (kushoto) akipambana na Nahodha wa Simba, Jonas Mkude
Kiungo wa Simba, Mohammed 'Mo' Ibrahim akiambaa na mpira dhidi ya wachezaji wa Kagera Sugar
Mpishi wa bao la kwanza la Simba na mfungaji wa bao la pili, Shizza Kichuya akishangilia na wenzake jana baada ya kufunga
0 comments:
Post a Comment