Mwanzo > YANGA > KWANI HUYO CHIRWA HAJIPENDI? AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA LIGI KUU BARA YANGA KWANI HUYO CHIRWA HAJIPENDI? Beki wa Azam FC, Aggrey Morris (katikati) akimdhibiti mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0. Kulia ni kiungo wa Yanga, Deus Kaseke. Monday, October 17, 2016 AZAM HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA LIGI KUU BARA YANGA
0 comments:
Post a Comment