Winga wa Simba SC, Shizza Ramadhani Kichuya akinyoosha mkono kuwapa ishara mashabiki wa Simba baada ya kufunga bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Mbeya City Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Bao lingine la Simba lilifungwa na Ibrahim Hajib
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment