NGOMA ALIVYOIFUNGIA YANGA BAO LA TATU KWA USTADI MKUBWA LEO
Mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe Donald Ngoma akienda juu kuifungia timu yake bao la tatu katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Mabao mengine ya Yanga yalifungwa na Mzambia Obrey Chirwa na mzalendo Simon Msuva, wakati la Mtibwa lilifungwa na Haroun Chanongo
0 comments:
Post a Comment