Nyota wa Ubelgiji, Eden Hazard akishangilia na mchezaji mwenzake, Victor Moses (kushoto) baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 33 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya mabingwa watetezi, Leicester City Uwanja wa Stamford Bridge, London leo. Moses naye alifunga bao la tatu dakika ya 80, wakati bao la kwanza lilifungwa na Diego Costa dakika ya saba PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ricky Hatton left £30MILLION estate after his tragic death, new figures
reveal, as son Campbell claims family are 'completely in the dark' amid
dispute over late boxer's finances
-
Ricky Hatton reportedly amassed a £30million fortune before his death last
year, though uncertainty remains over how the boxing legend's estate will
be dis...
52 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment