Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akishangilia baada ya kufunga bao dakika ya 81 ambalo linakuwa la 54 msimu huu katika mchezo wa La Liga dhidi ya Real Betis Uwanja wa Benito Villamarin mjini Sevilla. Barca imeshinda 2-0, bao lingine akifunga Ivan Rakitic ambalo lilikuwa la kwanza dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment