![]() |
| Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga SC, Jerry Muro tayari kikosi cha Yanga SC kipo Pemba na kesho kitaanza mazoezi kwenye Uwanja wa Gombani |
![]() |
| Yanga SC iliondoka Dar es Salaam Ijumaa Saa 1:00 usiku kwenda Mauritius kabla ya leo kutuan Zanzibar |
![]() |
| Yanga SC iliwasili Zanzibar majira ya Saa 4:00 asubuhi na hadi Saa 6:00 mchana, tayari walikuwa Pemba |







.png)
0 comments:
Post a Comment