Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kuswazisha dakika ya 91 katika sare ya 1-1 na Manchester United Uwanja wa Stamford Bridge kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Man United walitangulia kupata bao kupitia kwa Jesse Lingard dakika ya 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Athletes who hate their sports: From a Premier League winner who doesn't
watch football to an Ally Pally world champion that isn't a fan of darts
-
There are a number of pulls when it comes to a career in sport. The chance
to spend every day doing what you love, earning your living along the way.
Or ma...
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment