• HABARI MPYA

    Friday, March 13, 2015

    PLUIJM NA MKWASA WALIKUWA WANAZUNGUMZA NINI NA NGASSA HAPA?

    Kocha Msaidizi wa Yanga SC, Charles Boniface Mkwasa (kushoto) akizungumza na mchezaji wa timu hiyo, Mrisho Ngassa mazoezini leo asubuhi Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Kulia ni Kocha Mkuu, Mholanzi Hans van der Pluijm. Wawili hao walitumia takriban dakika 10 kuzungumza na mchezaji huyo kabla ya kuanza mazoezi.
    Mkwasa na Pluijm walitumia muda wa zaidi ya dakika 10 kuzungumza na Ngassa.
    Yanga SC inajiandaa na mchezo dhidi ya Platinum FC ya Zimbabwe Jumapili Kombe la Shirikisho Afrika.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PLUIJM NA MKWASA WALIKUWA WANAZUNGUMZA NINI NA NGASSA HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top