Mabondia Floyd Mayweather Jr (kushoto) na Manny Pacquiao (kulia) wakiwa wamepozi katika ukumbi wa Nokia Theater mjini Hollywood, Marekani wakati wa utambulisho rasmi wa pambano lao lenye thamani ya Pauni Milionin 300 litakalofanyika Mei 2, mwaka huu ukumbi wa MGM Grand Casino mjini Las Vegas.
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/boxing/article-2990400/Floyd-Mayweather-Manny-Pacquiao-kick-hostilities-Hollywood-red-carpet-treatment-ahead-Las-Vegas-mega-fight.html#ixzz3UAAdV97d


.png)
0 comments:
Post a Comment