• HABARI MPYA

    Tuesday, March 10, 2015

    MAANDALIZI MKUTANO MKUU WA TFF MORO YAIVA

    MAANDALIZI ya mkutano mkuu wa mwaka wa TFF utakaofanyika mjini Morogoro kati ya Machi 14,15 mwaka huu katika Ukumbi wa Morogoro Hotel yanaendelea vizuri.

    AGENDA ZA MKUTANO MKUU; 
    1.Kufungua Mkutano
    2. Uhakiki wa Wajumbe
    3. Kuthibitisha Ajenda.
    4. Kuthibitisha Muhtsari wa Mkutano Mkuu uliopita.
    5. Yatokanayo na Mkutano uliopita.
    6. Hotuba ya Rais.
    7. Ripoti kutoka kwa Wanachama
    8. Kuthibitisha ripoti ya utekelezaji wa Kamati ya Utendaji.
    9. Kuthibitisha ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu 2013.
    10. Kuthibitisha ripoti ya Kamati ya Ukaguzi wa Hesabu.
    11. Kupitisha bajeti ya 2015
    12. Marekebisho ya Katiba
    13. Mengineyo
    14. Kufunga Mkutano.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAANDALIZI MKUTANO MKUU WA TFF MORO YAIVA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top