![]() |
Mshambuliaji wa Yanga SC akiruka juu kuwania mpira dhidi ya mabeki wa Kagera Sugar jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Kaitaba. Kagera walishinda 1-0. |
![]() |
Kiungo wa Yanga SC, Andrey Coutinho akiwafunga tela wachezaji wa Kagera |
![]() |
Jerry Tegete wa Yanga SC akipambana na mchezaji wa Kagera |
![]() |
Kikosi cha Yanga SC kilichoifungwa 1-0 na Kagera Sugar jana Kaitaba |
![]() |
Kikosi cha Kagera Sugar kilichoibwaga Yanga SC jana |
![]() |
Kocha wa Yanga SC, Marcio Maximo akilalamika kwa Waandishi wa Habari juu ya refa. (PICHA ZAIDI NENDA) http://www.bukobasports.com |
0 comments:
Post a Comment