Sunday, November 02, 2014

    NANI MTANI JEMBE 2 LA BUGURUNI KATIKA PICHA

    Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga wakishindana kupuliza Vuvuzela katika maeneo ya Buguruni jijini Dar es Salaam wakati wa kutangaza Kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager  jana. 
    Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga wakishindana kicheza wakati wa kutangaza kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager katika maeneo ya Buguruni Dar es Salaam jana
    Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga wakitembea kwa maandamano wakitangaza Kampeni ya Nani Mtani Jembe inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Buguruni jijini Dar es Salaam jana.
    Washereheshaji katika Kampeni ya Nini Mtani Jembe wakicheza muziki na Mzee, Mtimbange ambaye ni shabiki wa Yanga wakati wa kampeni hiyo inayoendelea nchni kote inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager Buguruni jijini Dar es Salaam jana.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NANI MTANI JEMBE 2 LA BUGURUNI KATIKA PICHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry