• HABARI MPYA

    Thursday, November 06, 2014

    BAYERN MUNICH NI HATARI TUPU

    Nyota wa Bayern Munich, Franck Ribery akishangilia kuifungia timu yake katika ushindi wa 2-0 dhidi ya AS Roma mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana. Bao lingine lilifungwa na Mario Gotze na mabingwa hao wa Ujerumani wanatimiza pointi 12 sasa hivyo kujihakikishia kuingia hatua ya mtoano.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAYERN MUNICH NI HATARI TUPU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top