• HABARI MPYA

    Thursday, October 16, 2014

    UZINDUZI WA NANI MTANI JEMBE 2 MBEYA ULIVYOFANA

    Mashabiki na wapenzi wa timu ya Simba ambao ninwafanyakazi wa TBL Mbeya wakishangilia ushindi baada ya kuwashinda mashabiki na wapenzi wa timu ya Yanga kwa upigaji wa danadana.
    Wafanyakazi wa TBL Mbeya wa ambao ni mashabiki wa Yanga na Simba wakishindana kupiga danadana katika viwanja vya Kiwanda cha TBL Jijini Mbeya 
    Wapenzi na mashabiki wa timu mbili watani wa Jadi Yanga na Simba wakishiriki katika mchezo wa mpira wa meza wakati wa Uzinduzi wa Nani Mtani Jembe awamu ya pili kwenye viwanja vya Kiwanda cha TBL Jijini Mbeya. 
    Meneja wa Bia ya kilimanjaro George Kavishe akielezea mpango wa awamu ya pili wa Bia ya kilimanjaro katika utambulisho wa Nani Mtani Jembe ambayo yanazihusisha timu mbili watani wa Jadi Yanga na Simba. 
    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa timu ya Yanga Mohamed Bhinda akimkabidhi kadi za uanachama Mwenyekiti wa Tawi la Yanga Yohana Samwel kwenye mashindano ya Nani Mtani Jembe kwenye viwanja vya Kiwanda cha TBL jijini Mbeya.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UZINDUZI WA NANI MTANI JEMBE 2 MBEYA ULIVYOFANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top