• HABARI MPYA

    Thursday, October 16, 2014

    MAXIMO LEO ALIKUWA ANA KAZI MOJA NA DIDA, YANGA WAKIFANYIA MAZOEZI MIPIRA YA KONA BOKO

    Kocha wa Yanga SC, Mbrazil Marcio Maximo akimpa maelekezo kipa wake wa kwanza, Deo Munishi 'Dida' wakati wa mazoezi ya asubuhi Uwanja wa Boko Veterani, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya mahasimu Simba SC Jumamosi.
    Maximo leo alielekeza nguvu katika mazodzi ya mipira ya kona Yanga SC
    Yanga walifanyia mazoezi mipira ya kona itakayoelekezwa langoni mwao, maana yake walikuwa wanajiimarisha katika ulinzi kabla ya mchezo huo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara keshokutwa 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAXIMO LEO ALIKUWA ANA KAZI MOJA NA DIDA, YANGA WAKIFANYIA MAZOEZI MIPIRA YA KONA BOKO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top