• HABARI MPYA

    Wednesday, October 08, 2014

    SHAMRA SHAMRA ZA KUITABULISHA NANI MTANI JEMBE KWA MASHABIKI MITAA YA JIJI‏

    Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga wakicheza muziki katika eneo la Buguruni Sokoni jijini Dar es Salaam leo wakati wa shamrashamra za kuitambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 kwa mashabiki wa timu mbili hizo mjini Dar es salaam. Kampeni hiyo inayoendeshwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager.  
    Mashabiki wa Timu ya Yanga na Simba wakishindana kupuliza Vuvuzela wakati walipokuwa wakizunguka katika maeneo ya jiji la Dar es Salaam leo kuitambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 kwa mashabiki wa timu mbili hizo inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager 
    Magari ya matangazo, yakiwa katika maeneo ya Vingunguti jijini Dar es Salaam leo kuitambulisha kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 kwa mashabiki. Kampeni hiyo inaendeshwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager.   
    Wakishindana kupuliza Vuvuzela Vingunguti Dar es Salaam leo 
    Mashabiki wa timu ya Simba na Yanga wakishindana kuvuta kamba wakati wa kampeni ya Nani Mtani Jembe 2 inayoendeshwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager katika eneo la Vingunguti jijini Dar es Salaam

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHAMRA SHAMRA ZA KUITABULISHA NANI MTANI JEMBE KWA MASHABIKI MITAA YA JIJI‏ Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top