• HABARI MPYA

    Saturday, October 04, 2014

    SHAABAN KISIGA 'MALONE' ALIPOPIGA BONGE LA BAO, LAKINI STAND WAKACHOMOA

    Kiungo wa Simba SC, Shaaban Kisiga 'Malone' akienda kufunga baada ya kufanikiwa kumlamba chenga kipa wa Stand United, John Mwenda. Kisiga alifunga bao zuri, akipokea pasi ya Emmanuel Okwi nje ya boksi nankuwatoka mabeki na kipa wao. Timu hizo zilitoka 1-1.
    Shaaban Kisiga akiwatoka mabeki wa Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya kufunga.
    Kisiga kulia akipongezwa na wenzake baada ya kufunga.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SHAABAN KISIGA 'MALONE' ALIPOPIGA BONGE LA BAO, LAKINI STAND WAKACHOMOA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top