BAO pekee la Nahodha Wayne Rooney usiku wa jana limeipa ushindi wa 1-0 England ugenini dhidi ya Estonia katika mchezo wa Kundi E kufuzu Euro 2016.
Rooney alifunga bao hilo dakika ya 74, Estonia wakimaliza pungufu baada ya mchezaji wao, Ragnar Klavan kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 48. Katika mchezo mwingine wa Kundi E, Slovenia iliichapa 2-0 Lithuania.
Kikosi cha Estonia kilikuwa: Parelko, Jaager, Morozov, Klavan, Pikk, Mets, Antonov, Vassilijev/Lindpere dk46, Vunk/Kruglov dk84, Zenjov/Ojamaa dk80 na Anier.
England: Hart, Chambers, Cahill, Jagielka, Baines, Henderson/Sterling dk64, Wilshere, Delph/Oxlade-Chamberlain dk61, Lallana, Welbeck/Lambert dk80 na Rooney.

Wayne Rooney ameifungia bao pekee England jana |
0 comments:
Post a Comment