BONDIA Anthony Joshua amemmaliza mpinzani wake Denis Bakhtov katika Raundi ya pili mjini London na kutwaa taji la kimataifa la WBC uzito wa juu.
Mbabe huyo wa Watford ambaye anafananishwa na bingwa wa zamani wa dunia asiyepingika, Lennox Lewis wa Uingereza pia, sasa amefikisha mapambano tisa akishinda yote
Bakhtov hajawahi kusimamishwa kwa muongo mzima na amepigana Raundi 250 zaidi ya Joshua, ambaye ana miaka sita tangu aanze ndondi.

![]() |
Refa akisimamisha pambano raundi ya pili kumpa ushindi Joshua |
0 comments:
Post a Comment