• HABARI MPYA

    Sunday, October 12, 2014

    PAMOJA NA BARIDI KALI LA SAUZI, SIMBA SC WAOGELEA KWENYE BWAWA

    Wachezaji wa Simba SC wakiogelea kwenye bwawa liliopo katika hoteli waliyofikia, Eden Vale Petra mjini Johannesburg, Afrika Kusini baada ya mazoezi ya asubuhi ya leo. Simba SC imeweka kambi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao, Yanga SC Oktoba 18, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
    Kocha Patrick Phiri katikati akiwa na wachezaji wake, Twaha Ibrahim 'Messi' kulia na Hassan Isihaka kushoto
    Kipa Peter Manyika kushoto akipiga mbizi, huku Hussein Sharrif 'Cassilas' kulia akiwa ameketi nje ananing'iniza miguu kwenye bwawa
    Winga Ramadhani Singano 'Messi' kushoto akimiliki mpira mazoezini
    Kocha Patrick Phiri akitoa maelekezo kwa vijana wake mazozini leo
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PAMOJA NA BARIDI KALI LA SAUZI, SIMBA SC WAOGELEA KWENYE BWAWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top