• HABARI MPYA

    Friday, October 10, 2014

    HII NDIYO ARSENAL ILIYOITWA 'ARSENAL KWELI'


    Hii ilikuwa Arsenal kweli; Wachezaji wa zamani wa Arsenal, kutoka kulia Thierry Henry, Robert Pires na Patrick Vieira na Ashley Cole aliyeipa mgongo kamera walioiwezesha The Gunners kushinda taji la mwisho la Ligi Kuu ya England mwaka 2004, tena wakiweka rekodi ya kutofungwa. Arsene Wenger kwa miaka sasa anapambana kurudisha enzi za mafanikio haya Arsenal.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HII NDIYO ARSENAL ILIYOITWA 'ARSENAL KWELI' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top