![]() |
Gari jipya la Diamond likiwa nje ya jengo la Golden Jubilee. Thamani ya gari hili si chini ya Sh. Milioni 150 |
![]() |
Wadau mbalimbali waliohudhuria pati ya kuzaliwa Diamond |
![]() |
Diamond aliingia ukumbini akitokea Uwanja wa Ndege baada ha kuwasili kutoka Marekani |
![]() |
Diamond akizungumza na mpenzi wake Wema Sepetu anayeongozana na mama mzazi wa mwanamuziki huyo kulia |
![]() |
Wema ambaye ni Miss Tanzania wa mwaka 2006 na mwigizaji nyota nchini kulia, hapa anampamba mumewe mtarajiwa wakiwa kwenye lifiti kuelekea ghorofa ya tano ilipofanyika pati |
0 comments:
Post a Comment