• HABARI MPYA

    Tuesday, October 07, 2014

    BALE AWEKA REKODI MPYA, ABEBA TUZO YA NNE FAW

    WINGA Gareth Bale ameweka rekodi mpya baada ya kushinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Wales kwa mara ya nne.
    Wote Mark Hughes na John Hartson kila mmoja alishinda tuzo hiyo Mwanasoka Bora wa Wales mara tatu, lakini hakuna aliyeshinda mara nne kabla.
    Nyota huyo wa Real Madrid ametetea tuzo hiyo katika hafla ya chakula cha usiku ya tuzo za FAW iliyofanyika kwenye hoteli ya St David's mjini Cardiff- na saa ameba tuzo hiyo mara nne katika miaka mitano iliyopita.

    Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Wales
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BALE AWEKA REKODI MPYA, ABEBA TUZO YA NNE FAW Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top