• HABARI MPYA

    Thursday, June 12, 2014

    VURUGU KUBWA ZAIBUKA BRAZIL UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA, WATU KIBAO WAJERUHIWA KATIKA MAPIGANO YA POLISI NA RAIA

    SAA kadhaa kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil, Jiji la Sao Paulo kwa mara nyingine zimeibuka vurugu zilizosababisha waru kujeruhiwa.
    Polisi walilipua mabomu ya machozi na kupambana vikali na mashabiki maeneo ya kituo cha Caaro.
    Helikopta za jeshi zililizunguka Jiji hilo huku polisi wakipambana na raia .

    Vurugu: Mwanamke akisukumwa na polisi
    Clashes: Riot police fire tear gas during the demonstrations as they to calm the scenes in Brazil
    Injured: CNN producer Barbara Arvanitidis is rushed away on a stretcher after breaking her arm
    Majeruhi: Mtayarishaji wa CNN, Barbara Arvanitidis akikimbizwa na machela baada ya kuvunjika mguu kwenye vurugu hizo
    Help: Barbara Arvanitidis is treated by paramedics after she is injured by a gas canister
    Msaada: Barbara Arvanitidis akipatiwa huduma ya kwanza
    Standoff: A picture uploaded to Twitter shows a wall of police and a crowd in front of them
    Polisi kazini]
    Detained: A protester is restrained by police attempting to calm the 100-strong demonstration
    Shabiki akidhibitiwa na polisi
    Captured: TV footage showed a protester being held by police during the Sao Paulo riots
    Burning: Demonstrators from Black Bloc clash with police and create a barrier of fire in Sao Paulo
    Moto: raia wakipambana na polisi Sao Paulo
    Shoot: Police fire rubber bullets at protestors in Sao Paulo on the main highway to the stadium
    Conflict: Protestors from anarchist group Black Bloc clash with police during the protest against the World Cup
    A demonstator receives assistance after being injured during an anti-World Cup protest in Brazil
    Shabiki akipatiwa msaada baada ya kuumia 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VURUGU KUBWA ZAIBUKA BRAZIL UFUNGUZI KOMBE LA DUNIA, WATU KIBAO WAJERUHIWA KATIKA MAPIGANO YA POLISI NA RAIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top