// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RONALDO AUMIA TENA LEO, ALIFANYA MAZOEZI DAKIKA 20 TU HALAFU... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RONALDO AUMIA TENA LEO, ALIFANYA MAZOEZI DAKIKA 20 TU HALAFU... - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, June 13, 2014

    RONALDO AUMIA TENA LEO, ALIFANYA MAZOEZI DAKIKA 20 TU HALAFU...

    MSHAMBULIAJI Cristiano Ronaldo ameba hofu upya ndani ya kikosi cha Ureno kuelekea mchezo wao wa ufunguzi wa Kombe la Dunia dhidi ya Ujerumani baada ya leo kutoka uwanjani mazoezini akiwa amefungwa barafu kwenye goti.
    Nyota huyo wa Real Madrid alipata ahueni wiki hii na kuanza mazoezi hivyo kurejesha amani Ureno, lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ameibua hofu upya juu ya hali yake.
    Ronaldo alimudu kufanya mazoezi kwa dakika zisizozidi na wachezaji wenzake kabla ya kulazimika kutoka.
    Bado majeruhi: Ronaldo akiondoka mazoezini akiwa amefungwa barafu leo Brazil
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO AUMIA TENA LEO, ALIFANYA MAZOEZI DAKIKA 20 TU HALAFU... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top