// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); RIBERY BADO HATIHATI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA, VIJANA WAWILI WAANDALIWA KUCHUKUWA NAFASI YAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE RIBERY BADO HATIHATI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA, VIJANA WAWILI WAANDALIWA KUCHUKUWA NAFASI YAKE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Wednesday, June 04, 2014

    RIBERY BADO HATIHATI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA, VIJANA WAWILI WAANDALIWA KUCHUKUWA NAFASI YAKE

    NYOTA wa Ufaransa, Frank Ribery bado yupo kwenye hatihati ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia katokana na kutokuwa fiti kiasi cha kutosha, ingawa kwa vyovyote Samir Nasri hawezi kuchukuliwa kuziba pengo lake hata akienguliwa kikosini. 
    Kiungo huyo wa Bayern Munich alitajwa katika kikosi cha mwisho cha wachezaji 23 wa Ufaransa kwa ajili ya Kombe la Dunia Brazil juzi, lakini hakuna matumaini kama atapona haraka. 
    Remy Cabella wa Montpellier - ambaye wakati fulani aliwahi kutakiwa na Newcastle - na Alexandre Lacazette wa Lyon wamewekwa mkao wa kula kwa ajili ya mmoja wao kuchukua nafasi ya Ribery iwapo hatapona ndani ya muda unaotakiwa. 

    Kumkosa ni pogo kubwa  Frank Ribery anapambana na maumivu yake mwezi huu aweze kupona na kucheza Kombe la Dunia
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RIBERY BADO HATIHATI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA, VIJANA WAWILI WAANDALIWA KUCHUKUWA NAFASI YAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top