Kwa raha zake: Kiungo wa kimataifa wa Ufaransa, Samir Nasri aliyetemwa kwenye kikosi cha timu hiyo cha Kombe la Dunia, akiwa anastarehe na mpenzi wake. Wengi wamestaajabishwa na kitendo cha kocha Didier Deschamps kutomchukua kiungo huyo wa Manchester City kwa sababu yuko juu hivi sasa na alitoa mchango mkubwa klabu yake kutwaa ubingwa wa England.
World Cup: Belgium complete stunning comeback to knock out Senegal
-
Belgium produced one of the most dramatic comebacks of the 2026 FIFA World
Cup after fighting back from two goals down to beat Senegal 3-2 after extra
ti...
31 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment