// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); LOW ATAJA 23 WA UJERUMANI KOMBE LA DUNIA, SCHMELZER NJE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE LOW ATAJA 23 WA UJERUMANI KOMBE LA DUNIA, SCHMELZER NJE - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, June 03, 2014

    LOW ATAJA 23 WA UJERUMANI KOMBE LA DUNIA, SCHMELZER NJE

    Na Joe Wright, MUNICH
    KOCHA Joachim Low ametaja kikosi cha mwisho cha wachezaji 23 wa Ujerumani watakaokwenea kwenye Kombe la Dunia, akimuacha Marcel Schmelzer.
    Beki huyo wa Borussia Dortmund amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya nyonga na alikuwa nje kwenye kikosi kilichotoa sare ya 2-2 na Cameroon Jumapili katika mchezo wa kirafiki.

    Kikosi kamili cha Ujerumani ni makipa; Manuel Neuer (Bayern Munich), Roman Weidenfeller (Borussia Dortmund) na Ron-Robert Zieler (Hannover), mabeki; Jerome Boateng (Bayern Munich), Erik Durm, Kevin Grosskreutz (Borussia Dortmund), Benedikt Hoewedes (Schalke 04), Mats Hummels (Borussia Dortmund), Philipp Lahm (Bayern Munich) na Per Mertesacker (Arsenal).
    Viungo; Julian Draxler (Schalke 04), Matthias Ginter (Freiburg), Mario Gotze (Bayern Munich), Christoph Kramer (Borussia Monchengladbach), Sami Khedira (Real Madrid), Toni Kroos (Bayern Munich), Mesut Ozil (Arsenal), Marco Reus (Borussia Dortmund), Andre Schurrle (Chelsea) na Bastian Schweinsteiger (Bayern Munich) wakati washambuliaji ni; Miroslav Klose (Lazio), Thomas Muller (Bayern Munich) na Lukas Podolski (Arsenal).
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LOW ATAJA 23 WA UJERUMANI KOMBE LA DUNIA, SCHMELZER NJE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top