// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); DIDA ALIVYOMSTAAJABISHA REFA HARARE JANA SHAHIDI CANNAVARO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE DIDA ALIVYOMSTAAJABISHA REFA HARARE JANA SHAHIDI CANNAVARO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, June 02, 2014

    DIDA ALIVYOMSTAAJABISHA REFA HARARE JANA SHAHIDI CANNAVARO

    Kipa wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Deo Munishi 'Dida' akiwa ameruka juu kupasha misuli moto kabla ya kuanza kwa mechi dhidi ya Zimbabwe jana Uwanja wa Taifa wa Harare. Stars ilitoa sare ya 2-2 na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kushinda 1-0 Dar es Salaam. Kushoto ni refa msaidizi namba moja akimstaajabu kipa huyo. Wengine kulia ni Oscar Joshua na Kevin Yondan aliyeinama na kushoto ni Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro'.  

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DIDA ALIVYOMSTAAJABISHA REFA HARARE JANA SHAHIDI CANNAVARO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top