KLABU ya New York City FC imetangaza kumsajili mwanasoka wa kimataifa wa Hispania, David Villa kwa Mkataba wa miaka mitatu.
Timu hiyo mpya ya Ligi Kuu ya Marekani maarufu kama Major League Soccer, ambayo inamilikiwa kwa pamoja na Manchester City na New York Yankees, wamethibitisha katika ukurasa wao wa Twitter kuwa mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 32 anakuwa mchezaji wa kwanza kabisa kusajiliwa na klabu hiyo.
0 comments:
Post a Comment