![]() |
| Wanenguaji wa Extra Bongo wakipagawisha jana Ngamia |
![]() |
| Rapa wa Extra wa Bongo, Greyson Semsekwa akifanya yake jana |
![]() |
| Tukiwa tunaondoka nifuate; Mwimbaji wa Extra Bongo, Ramadhani Masanja 'Banza Stone' akiteta na shabiki wake wa kike wakati anaimba |
![]() |
| Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ally Choky kulia |
![]() |
| Otilia Boniface alishuka chini kucheza na shabiki huyu wa kiume |
![]() |
| Mnenguaji Asha Sharapova kushoto pembenki ya Banza Stone |
![]() |
| Mashabiki wa Extra Bongo wakicheza |
![]() |
| Ufundi dhidi ya fundi; Mashabiki wa Extra Bongo wakicheza na Otilia |
![]() |
| Wapendanao; Shabiki wa Extra Bongo akicheza na mpenzi wake kushoto |












.png)
0 comments:
Post a Comment