• HABARI MPYA

    Wednesday, September 04, 2013

    GWIJI MAN UNITED ALAMBA TUZO ENGLAND

    IMEWEKWA SEPTEMBA 4, 2013 SAA 8:08 MCHANA
    GWIJI Sir Bobby Charlton alikabidhiwa tuzo ya mafanikio ya muda mrefu na Rio Ferdinand katika tuzo za mwaka 2013 za GQ jana usiku.
    Gwiji huyo wa Manchester United aliungana na Carl Froch na Andy Murray kwa kutambuliwa kwa michango yao katika ulimwengu wa michezo.
    Mwandishi wa Sportsmail Jamie Redknapp alimkabidhi Froch tuzo ya Mwanamichezo Bora wa mwaka katika sherehe zilizofanyika hoteli ya Royal Opera, wakati Murray, ambaye kwa sasa yupo kwenye michuano ya Tenisi ya US Open, ameshinda tuzo ya Mafanikio ya Mwaka.
    United connection: Sir Bobby Charlton was presented with the GQ Lifetime Achievement award by Rio Ferdinand
    Wakali wa United: Sir Bobby Charlton alikabidhiwa tuzo mafanikio ya muda mrefu ya GQ na nyota wa sasa wa Old Trafford, Rio Ferdinand
    Famous face: Elton John was at the awards alongside Bobby Charlton and wife Norma
    Sura maarufu: Elton John alikuwepo kwenye tuzo hizo sambamba na Bobby Charlton na mkewe, Norma
    Jamie Redknapp
    Happy couple: Froch turned up with his wife Rachael Cordingley
    Mshikilia taji: Mwakilishi wa Sportsmail, Jamie Redknapp akimkabidhi Carl Froch tuzo ya Mwanamichezo wa Mwaka
    Sportsmail's finest: Jamie and Louise Redknapp enjoying themselves at the awards
    Penzi la furaha: Mtanashati wa Sportsmail, Jamie na mkewe Louise wakifurahia katika tuzo hizo
    Happy couple: Froch turned up with his wife Rachael Cordingley
    Tabasamu tupu: Froch alitokea na mkewe Rachael Cordingley
    Fight of the year: Froch retained his IBF super-middleweight title and won the WBA super-middleweight title when he beat Mikkel Kessler in London, their second meeting
    Pambano la mwaka: Froch alitetea taji lake la IBF uzito wa Super-Middle na kutwaa la WBA katika uzito huo alipompiga Mikkel KesslerLondon.
    United and Liverpool: Ferdinand and Redknapp together at the Royal Opera House
    Muungano wa Manchester na Liverpool: Ferdinand na Redknapp wakiwa pamoja Royal Opera
    Amir Khan and wife Faryal Makhdoom
    Amir Khan and wife Faryal Makhdoom
    Zulia jekundu: Amir Khan na mkewe, Faryal Makhdoom kabla ya tuzo
    Samuel L Jackson
    Samuel L. Jackson
    Wakali wa Hollywood: Nyota wa sinema, Samuel L Jackson pia alikuwepo
    Wimbledon champion: Andy Murray won Achievement of the Year
    Bingwa wa Wimbledon: Andy Murray ameshinda mafanikio ya mwaka kwa ushindi wake katika SW19 - na kuwa Muingereza wa kwanza kufanya hiyo kwa miaka 77
    Biting point: Murray sinks his teeth into his racket during his hard-fought win
    Udhuru mzuri: Murray hakuwepo kwa sababu alikuwa anacheza na Denis Istomin katika US Open ambako alishinda
    Rio Ferdinand
    Michael Douglas
    jukwaani: Ferdinand kushoto na Michael Douglas kulia
    Emma Watson
    Rosie Huntington-Whiteley
    Wanang'arar: Emma Watson aliwapiku Rosie Huntington-Whiteley kushinda tuzo ya Mwanamke wa mwaka ya GQ

    OROSHA YA WASHINDI TUZO ZA GQ:

    Hugo Boss Most Stylish - Dan Stevens
    Comedians - Simon Pegg, Nick Frost and Edgar Wright
    Politician - Boris Johnson
    Oracle - Russell Brand
    Breakthrough Menswear Designer Brand - Jonathan Saunders
    Lifetime Achievement - Sir Bobby Charlton
    Radio Personality - Nick Grimshaw
    Entrepreneur - Evgeny Lebedev
    Chef - Jason Atherton
    Sportsman - Carl Froch
    Writer - Charles Moore
    Woman - Emma Watson
    Editor's Choice Award - Roger Daltrey (Dylan Jones)
    The Serpentine Gallery GQ Art Award - Tracey Emin
    Band - Arctic Monkeys
    Remy Martin Breakthrough - Eddie Redmayne
    TV Personality - Piers Morgan
    Performer - Pharrell Williams
    Inspiration - Lou Reed
    Icon - Noel Gallagher
    Designer - Tom Ford
    Genius - Sir Elton John
    Legend - Michael Douglas
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: GWIJI MAN UNITED ALAMBA TUZO ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top