• HABARI MPYA

    Friday, April 12, 2013

    CHELSEA NA WABABE WA SPURS NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE


    KLABU ya Chelsea itamenyana na FC Basle katika Nusu Fainali ya Europa League tena wakimalizia nyumbani mechi ya marudiano kwenye Uwanja wa Stamford Bridge.
    Watasafiri hadi Uswisi Aprili 25 kabla ya kuwakaribisha wapinzani wao London Mei 2. 
    The Blues haijawahi kucheza na Basle kabla historia katika maka 108 ya kuwepo kwap. Timu ya Uswisi iliitoa Tottenham kwa penalti jana katika Robo Fainali. 
    Nusu Fainali nyingine itakuwa kati ya Benfica ya Ureno na Fenerhbahce ya Uturuki.
    Off to Switzerland: Chelsea will face FC Basel
    Wanakwenda Uswisi: Chelsea itamenyana na FC Basel

    NUSU FAINALI

    Fenerbahce v Benfica
    Basle v Chelsea
    Katibu wa Chelsea, David Barnard amesema kwamba Basle ndio timu waliotaka kukutana nayo katika Nusu.
    He told Sky Sports News: 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: CHELSEA NA WABABE WA SPURS NUSU FAINALI EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top