• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 28, 2013

  AZAM FC WAPAA MOROCCO KWA DEGE LA ARSENAL JIONI HII KWENDA KUWEKA HISTORIA AFRIKA

  Wachezaji wa Azam FC, Khamis Mcha 'Vialli' kushoto na Aishi Manula kulia wakiwa kwenye foleni ya mstari wa kuingia ndani ya Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam mida hii tayari kwa safari ya Morocco kwenda kucheza mechi ya marudiano na wenyeji FAR Rabat Jumapili ijayo katika Raundi ya Tatu Kombe la Shirikisho. Azam inayoondoka kwa ndege ya Emirates, wadhamini wa Arsenal, inahitaji sare ya mabao au ushindi ili kusonga mbele.

  Kocha Muingereza, Stewart Hall na wachezaji wake tayari kuingia ndani

  Kipre Tchetche akishuka kwenye basi baada ya kufika Uwanja wa Ndege

  Kipre Balou...

  Kutoka kulia Salum Abubakar 'Sure Boy', Gaudence Mwaikimba na Meneja Msaidizi, Jemadari Said

  Mabosi; Wapenzi na viongozi wa Azam, katikati ni Daktari Mwanandi Mwankmewa 

  Furaha tupu; Kutyoka kulia David Mwantika, Jackson Wandwi na Waziri Salum

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: AZAM FC WAPAA MOROCCO KWA DEGE LA ARSENAL JIONI HII KWENDA KUWEKA HISTORIA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top