• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 20, 2013

  MAMBO YALIVYOKUWA AZAM NA FAR RABAT TAIFA LEO, KIPRE TCHETCHE NI BALAA!

  Kiungo wa FAR Rabat ya Morocco, Mohammed El Bakalli akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Azam FC, Kipre Balou katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Tatu, Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.

  Khamis Mcha 'Vialli' kulia akimtoka beki wa FAR Rabat

  Beki wa Azam FC, Waziri Salum akipanda kusaidia mashambulizi

  Waziri Salum akimgeuza mchezaji wa FAR Rabat

  Hatari kwenye lango la FAR Rabat

  John Bocco akiwatoka mabeki wa FAR Rabat

  John Bocco anakwenda na mpira...  

  Mashabiki wa Azam wakishangilia timu yao bila kuchoka

  Kipre Tchetche akimtoka beki wa FAR Rabat

  Khamis Mcha 'Vialli' akitafuta mbinu za kumtoka mchezaji wa FAR Rabat

  Kiungo wa Azam Salum Abubakar akipasua

  Kikosi cha FAR Rabat leo

  John Bocco akimuinua Kipre Tchetche baada ya kugongeasha mwamba dakika ya 90 na ushei

  Kikosi cha Azam FC leo

  Kipre Tchetche akisikitika baada ya kukosa bao la wazi

  Gaudence Mwaikimba akiwania mpira dhidi ya beki wa FAR Rabat

  Kipa Ali Grouni wa FAR Rabat akipangua mpira ya John Bocco

  Kipre kulia akitafuta mbinu za kumtoka beki wa FAR Rabat

  Kipre Tchetche kulia akimiliki mpira pembeni ya beki wa FAR Rabat

  Waziri Salum na mchezaji wa FAR Rabat....

  Beki wa FAR Rabat akiondosha mpira mbele ya Kipre Tchetche

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MAMBO YALIVYOKUWA AZAM NA FAR RABAT TAIFA LEO, KIPRE TCHETCHE NI BALAA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top