• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 20, 2013

  DEMBA BA ATAKA BENITEZ AMUANZISHE NA TORRES DHIDI YA LIVERPOOL KESHO WAFANYE MAUAJI YA KIHISTORIA

  MSHAMBULIAJI Demba Ba amemuambia kocha wa Chelsea, Rafa Benitez kwamba wapange yeye na Fernando Torres katika safu ya ushambuliaji kesho katika mechi ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Liverpool.

  Benitez ambaye amekuwa akiwazungusha wachezaji hao katika mfumo wa 4-2-3-1 tangu Ba ajiunge nao kutoka Newcastle Januari, lakini wakicheza pamoja walifanya vizuri kipindi cha pili wiki iliyopita katika Nusu Fainali ya Kombe la FA dhidi ya Manchester City.
  Benitez anakabiliwa na kigugumizi cha kuamua kuhusu kikosi chake, akiwa hana imani na kumuanzisha Torres dhidi ya timu yake ya zamani na kwa kiwango cha Ba inamfanya adharau kabisa, lakini Msenegali huyo amesema wanaweza kucheza pamoja. 
  Ba
  Torres
  Pacha uwanjani? Demba Ba (kushoto) anataka kucheza pacha na Fernando Torres katika safu ya ushambuliaji Chelsea
  Aliiambia Evening Standard: "Alipoingia uwanjani akitokea benchi dhidi ya City alinisaidia sana. Tuliwatia misukosuko, hivyo nafikiri tunaweza kucheza pamoja. Chelsea
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: DEMBA BA ATAKA BENITEZ AMUANZISHE NA TORRES DHIDI YA LIVERPOOL KESHO WAFANYE MAUAJI YA KIHISTORIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top