• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 27, 2013

  MAN CITY YASHINDA 2-1 DHIDI YA WEST HAM, MAREHEMU FOE AKIENZIWA UWANJANI MIAKA 10 BAADA YA KIFO CHAKE


  Up and running: Sergio Aguero capped off a magical City move, pouncing onto David Silva's intricate pass to fire past Jussi Jaaskelainen
  Sergio Aguero akiifungia Manchester City kwa pasi ya David Silva akimtungua kipa Jussi Jaaskelainen. City walishinda 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu England jioni hii na kujiimarisha katika nafasi ya pili. Tayari Man United wametwaa ubingwa wa ligi hiyo. Chini akishangilia na Nasri.
  Up and running: Sergio Aguero capped off a magical City move, pouncing onto David Silva's intricate pass to fire past Jussi Jaaskelainen
  Letting fly: Yaya Toure readies to unleash his howitzer, giving Jaaskelainen no chance
  Acha ipae: Yaya Toure akijiandaa kuifungia City bao la pili kwa kumtungua Jaaskelainen. Chini akishangilia na wenzake.
  Match-winner: Yaya Toure's dazzling strike put the game beyond the visitors
  Tribute: Both sets of fans paid their respects to Marc-Vivien Foe in the 23rd minute following the Cameroonian's tragic death in 2003
  Amenziwa: Mashabiki wa timu leo wamemuenzi marehemu Marc-Vivien Foe kwa kusimama dakika ya 23 kufuatia kifo cha kiungo huyo Mcameroon uwanjani mwaka 2003.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: MAN CITY YASHINDA 2-1 DHIDI YA WEST HAM, MAREHEMU FOE AKIENZIWA UWANJANI MIAKA 10 BAADA YA KIFO CHAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top