• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 27, 2013

  YANGA SC WAANZA MCHAKATO WA KULIPA 5-0 ZA MNYAMA, WAINGIA GYM LA KISASA QUALITY CENTRE KUTANUA VIFUA

  Wachezaji wa Yanga SCwakiwa mazoezini kwenye gym ya Quality Centre, Dar es Salaam asubuhi ya leo kujiandaa na mechi mbili zilizobaki za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.  Yanga tayari wamejihakikishia ubingwa wa Ligi Kuu na sasa wanacheza kukamilisha ratiba, wakiwa wamepania kushinda mechi zote na zaidi kulipa kisasi cha kufungwa 5-0 na wapinzani wao wa jadi, Simba SC Mei 18, baada ya kucheza na Coastal Union Mei 1, mwaka huu. 

  Kevin Yondan...

  Haruna Niyonzima na Hamisi Kiiza...

  Oscar Joshua...

  Kevin Yondan...

  Said Bahanuzi na Mbuyu Twite...

  Meneja Hafidh Saleh... 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: YANGA SC WAANZA MCHAKATO WA KULIPA 5-0 ZA MNYAMA, WAINGIA GYM LA KISASA QUALITY CENTRE KUTANUA VIFUA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top